Maswali Yanayoulizwa Sana
sw
Chagua lugha yako
  • Azərbaycanca
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Bahasa Melayu
  • Català
  • Česky
  • Dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • Español
  • Français
  • Gaeilge
  • Hrvatski
  • Italiano
  • Kiswahili
  • Latviešu
  • Lietuviškai
  • Magyar
  • Nederlands
  • Norsk
  • Oʻzbekcha
  • Pilipino
  • Polski
  • Português (BR)
  • Português (PT)
  • Română
  • shqip
  • Slovenčina
  • Slovenščina
  • suomi
  • svensk
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • Български
  • Қазақ
  • Македонски
  • Pусский
  • српски
  • Українська
  • ‏עברית‏
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिंदी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ภาษาไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
Windows PhoneWaasiliani

Jinsi ya kuongeza namba za simu za waasiliani wa kimataifa

Kuongeza namba ya simu ya mwasiliani wa kimataifa:

  1. Fungua kitabu chako cha anwani.
  2. Unapoongeza namba ya simu ya mwasiliani, anza kwa kuongeza ishara ya jumlisha (+).
  3. Ingiza msimbo wa nchi, kufuatiwa na namba kamili ya simu.
    • Kumbuka: Msimbo wa nchi ni kiambishi cha namba ambacho kinahitajika kuingizwa kabla ya namba kamili ya simu ya kitaifa ili kupiga simu kwa nchi nyingine. Unaweza kutafuta mtandaoni kupata msimbo wa nchi unayohitaji.

Kwa mfano, ikiwa mwasiliani aliyepo Marekani (msimbo wa nchi “1”) ana msimbo wa eneo “408” na namba ya simu "XXX-XXXX", utaingiza +1 408 XXX XXXX.

Kumbuka:
  • Hakikisha kuondoa 0 zozote zinazoongoza au misimbo maalum ya kupiga simu.
  • Ikiwa una maana ya kuongeza namba ya simu ya eneo (katika nchi) kwa kitabu chako cha anwani ya simu, ingiza namba kama unavyompigia simu mwasiliani wako.
  • Namba zote za simu nchini Ajentina (msimbo wa nchi "54") zinapaswa kuwa na "9" kati ya msimbo wa nchi na msimbo wa eneo. Kiambishi "15" lazima kiondolewe namba ya mwisho itakuwa na tarakimu 13 kwa jumla: +54 9 XXX XXX XXXX
  • Namba za simu nchini Meksiko (msimbo wa nchi "52") zinahitajika kuwa na "1" baada ya "+52", hata kama ni namba za Nextel.
Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho sio sawa
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone
  • Windows Phone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
2019 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti