WhatsApp inatumia muunganisho wa Intaneti ya simu yako (4G/3G/2G/EDGE au Wi-Fi, inavyopatikana) kukuwezesha kutuma na kupokea jumbe kwa marafiki na familia. Hautakikani kulipia kila ujumbe. Kama hujapitisha kikomo chako cha data au umeunganishwa na mtandao wa Wi-Fi ya bure, mtoa huduma wako hapaswi kukulipisha malipo ya ziada kwa ujumbe kupitia WhatsApp.
WhatsApp Calling inafanya kazi kwa njia sawa na hiyo. Jifunze zaidi kuhusu WhatsApp Calling kwenye: Android | iPhone | Windows Phone
Tafadhali uwe na tahadhari kuwa: