Kwa kipengele cha Orodha ya Tangazo unaweza kutuma ujumbe kwa waasiliani kadhaa kwa mara moja.
Orodha za Tangazo ni orodha zilizohifadhiwa za wapokeaji wa ujumbe ambao unaweza kuwatumia mara kwa mara tangazo za jumbe bila kuwachagua kila mara.
Kuunda Orodha ya Tangazo:
Hii itaunda Orodha mpya ya Tangazo. Unapotuma ujumbe kwa Orodha ya Tangazo, itatuma kwa wapokeaji wote ambao wamehifadhi namba yako kwenye vitabu vya anwani kwenye simu zao. Wapokeaji watapokea ujumbe kama ujumbe wa kawaida. Wakijibu, itaonekana kama ujumbe wa kawaida kwenye skrini yako ya Soga; na jibu lao halitatumwa kwa wapokeaji wengine kwenye Orodha ya Tangazo.
Jifunze zaidi kuhusu kutumia Orodha za Tangazo kwenye: Android | Windows Phone