Kwa bahati mbaya, Simu ya WhatsApp haipatikani katika nchi zingine kutokana na kanuni za maeneo.
Ukiwepo katika mojawapo ya nchi hizi, hutaweza kupiga au kupokea simu. Ukiwepo katika nchi ambapo Simu ya WhatsApp inapatikana, hutaweza kuwapigia watu waliopo katika nchi ambazo haipatikani.