Picha ya jalada
- Nenda kwa WhatsApp > gusa Hiari zaidi
> Mipangilio.
- Gusa picha yako ya jalada > ikoni ya Kamera.
- Unaweza kuchukua picha mpya kwa matunzio yako, chukua picha mpya kwa kamera yako au uondoe picha yako ya sasa.
Jina
- Nenda kwa WhatsApp > gusa Hiari zaidi
> Mipangilio.
- Gusa picha yako ya jalada na kisha gusa jina lako.
Kumbuka: Jina hili litaonekana kwa waasiliani ambao hawana maelezo yako ya mawasiliano yaliyohifadhiwa kwenye kitabu cha anwani cha simu yao.
Kuhusu
- Nenda kwa WhatsApp > gusa Hiari zaidi
> Mipangilio.
- Gusa picha yako ya jalada na kisha gusa kuhusu.
- Unaweza kuandikia kukuhusu au kuchagua kuhusu iliyojazwa.
Kumbuka: Maelezo hayawezi kuwa tupu.
Hadhi
- Nenda WhatsApp > skrini ya Hadhi.
- Gusa ikoni ya hadhi.
- Unaweza kuchukua picha mpya au kurekodi video mpya, au kuchagua moja iliyopo kutoka kwa sanaa, kisha gusa kitufe cha tuma
.
Kwa habari zaidi kuhusu Hadhi ya WhatsApp, tafadhali soma makala hii.
Kumbuka:
Jifunze jinsi ya kuweka jalada yako na hadhi kwenye: iPhone | Windows Phone