Maswali Yanayoulizwa Sana
sw
Chagua lugha yako
  • Azərbaycanca
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Bahasa Melayu
  • Català
  • Česky
  • Dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • Español
  • Français
  • Gaeilge
  • Hrvatski
  • Italiano
  • Kiswahili
  • Latviešu
  • Lietuviškai
  • Magyar
  • Nederlands
  • Norsk
  • Oʻzbekcha
  • Pilipino
  • Polski
  • Português (BR)
  • Português (PT)
  • Română
  • shqip
  • Slovenčina
  • Slovenščina
  • suomi
  • svensk
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • Български
  • Қазақ
  • Македонски
  • Pусский
  • српски
  • Українська
  • ‏עברית‏
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिंदी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ภาษาไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneUtatuaji

Kwa nini sipati arifa?

Ujumbe ukitumwa kupitia WhatsApp, lakini hauna programu ya kufungua, iPhone yako itaonyesha kiotomatiki taarifa ya kusukuma kukujulisha kuhusu ujumbe. Programu za iOS zinatoa aina tatu za arifa:

  • Sauti: Arifa ya sauti inacheza.
  • Arifa/Bendera: Arifa au bendera huonekana kwenye skrini.
  • Beji: Picha au nambari kwenye ikoni ya programu tumizi.

Arifa za Simu ya WhatsApp

Kuna njia mbili za kujibu simu ya WhatsApp kulingana na mipangilio yako ya arifa:

  • Arifa: Kujibu simu kutoka kwa arifa, gusa Kubali. Kukataa simu, gusa Funga.
  • Bendera: Ili kujibu simu kutoka kwa bendera, gusa bendera iliyo juu ya skrini. Kukataa simu, puuza tu bendera.

Kumbuka: Kwa iOS 10 na ushirikiano wa simu, mdundo unaotumiwa kwa simu za WhatsApp ni kuweka mdundo kwenye maelezo ya Mwasiliani kwenye Mipangilio ya iPhone.

Kuweka arifa

Tafadhali thibitisha kuwa mipangilio yako ya arifa imewashwa katika mipangilio yako yote ya WhatsApp na iPhone:

  • Nenda WhatsApp > Mipangilio > Arifa na angalia kama Onyesha Arifa zimewezeshwa kwa Jumbe na Vikundi.
  • Unaweza kuzima vibration kutikisika au sauti unazosikia katika programu, kwa mfano sauti unayosikia unapotuma au kupokea jumbe. Nenda WhatsApp > Mipangilio > Arifa > Arifa kwenye Programu.

  • Nenda Mipangilio ya iPhone > Arifa > WhatsApp. Weka mapendekezo yako kwa mtindo wa Arifa (Bendera, Arifa Ibukizi, au Hakuna), Beji, na Sauti. Ikiwa unataka arifa zionekane wakati uonyesho wa simu umezimwa, wezesha Onyesha Skrini ya Kufunga.

Kiwango cha sauti ya arifa kinadhibitiwa na kiwango cha kilio cha iPhone yako, ambacho kinaweza kuwekwa kwa Mipangilio ya iPhone > Sauti. Hapa, unaweza kuweka mapendekezo yako ya Kutikisa.

Kutatua matatizo ya arifa

Ikiwa umehakikisha kuwa mipangilio yako ya arifa ni sahihi katika mipangilio ya iPhone na Mipangilio ya WhatsApp na hupokea arifa, hii ni zaidi ya suala lako la muunganisho, iOS au Huduma ya Taarifa ya Kusukuma ya Apple.

Tafadhali kumbuka kuwa utoaji wa arifa unadhibitiwa kabisa na Huduma ya Taarifa ya Kusukuma ya Apple (APNS), na WhatsApp haina njia ya kutatua masuala ya huduma hii. Mtu akikutumia ujumbe wakati haupo mtandaoni, ujumbe huo utatumwa kwa APNS kutolea kwa simu yako. WhatsApp haina udhibiti au uonekanaji wa utoaji wa arifa hizi. Tatizo linaweza kujiwasilisha katika WhatsApp, lakini tatizo hili hutoka kwa APNS au iOS.

Kwa kawaida, njia tu ya kutatua tatizo hili ni kurejesha simu kwa mipangilio ya kiwanda na kuweka simu kama mpya.. Ukirejesha chelezo, kuna uwezekano utarejesha tatizo hilo pia.

Pia, taarifa za kusukuma zinahitaji kadi ya SIM halali na muunganisho unaofanya kazi wa Wi-Fi au selula.

Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho sio sawa
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone
  • Windows Phone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
2019 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti