WhatsApp inatambua kwa haraka na kwa urahisi ni nani kati ya waasiliani wako wanaotumia WhatsApp kwa kupitia kitabu cha anwani ya simu yako. Kufuta mwasiliani, lazima umfute mwasiliani kutoka kwenye kitabu cha anwani cha simu yako:
Kisha, changamsha waasiliani wako wa WhatsApp kwa kufungua WhatsApp > Gusa ikoni yasoga mpya > Hiari zaidi
> Changamsha.
Jifunze kufuta mwasiliani kwenye: iPhone | Windows Phone