Maswali Yanayoulizwa Sana
sw
Chagua lugha yako
  • Azərbaycanca
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Bahasa Melayu
  • Català
  • Česky
  • Dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • Español
  • Français
  • Gaeilge
  • Hrvatski
  • Italiano
  • Kiswahili
  • Latviešu
  • Lietuviškai
  • Magyar
  • Nederlands
  • Norsk
  • Oʻzbekcha
  • Pilipino
  • Polski
  • Português (BR)
  • Português (PT)
  • Română
  • shqip
  • Slovenčina
  • Slovenščina
  • suomi
  • svensk
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • Български
  • Қазақ
  • Македонски
  • Pусский
  • српски
  • Українська
  • ‏עברית‏
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिंदी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ภาษาไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneSoga

Jinsi ya kurejesha historia ya soga yako

Rejesha historia yako ya soga kutoka kwa chelezo ya iCloud

  1. Thibitisha kuwa kuna chelezo ya iCloud kwenye WhatsApp > Mipangilio > Soga > Chelezo ya soga.
  2. Ikiwa unaweza kuona saa chelezo la mwisho lilifanywa, futa na sakinisha upya WhatsApp kutoka kwenye Duka la Programu.
  3. Baada ya kuthibitisha namba yako ya simu, fuata maagizo kurejesha historia yako ya soga.

Kumbuka:

  • Lazima uingie ndani na ID ya Apple unayotumia kuingia kwenye iCloud na iCloud Drive lazima iwashwe.
  • Ni lazima kuwe na nafasi ya kutosha kwa iCloud na iPhone. Unahitaji angalau mara 2.05 ya nafasi huru kwenye akaunti yako ya iCloud na kwenye simu yao kuliko nafasi kamili ya chelezo yako.
  • Namba ya simu iliyotumiwa kwa kucheleza na kurejesha lazima ziwe sawa. Huwezi kurejesha historia ya soga kutoka kwa akaunti nyingine ya WhatsApp.
    • Hata ikiwa unashirikisha akaunti ya iCloud na mmoja wa familia, unaweza bado kuweka chelezo la WhatsApp tofauti kwa yao kwa sababu ya mahitaji ya kutakikana kuwa na namba ya simu sawa ya chelezo la iCloud na akaunti ya WhatsApp.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kucheleza kwa iCloud kwenye iPhone.
  • Siwezi kuunda au kurejesha chelezo ya iCloud.
Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho sio sawa
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone
  • Windows Phone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
2019 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti