Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Android
  2. Simu za Sauti na Video

Jinsi ya kupiga simu ya sauti

Simu ya sauti inakuruhusu kupigia waasiliani wako simu ya bure kwa kutumia WhatsApp, hata kama upo kwenye nchi nyingine. Kupiga simu ya sauti kunatumia muunganisho wa intaneti wa simu yako badala ya dakika za mpango wako wa simu ya mkononi. Gharama za data zinaweza kutumika.

Kupiga simu ya sauti

  1. Fungua soga ya kibinafsi na mwasiliani unayetaka kumpigia simu.
  2. Gusa Simu ya sauti.

Mbadala, fungua WhatsApp, gusa SIMU gusa > Simu mpya. Tafuta mwasiliani unayetaka kumpigia simu ya sauti, kisha gusa Simu ya sauti.

Kupokea simu ya sauti

Kama simu yako imefungwa, utaona skrini ya Simu ya sauti ya WhatsApp inaingia wakati mtu fulani anapokupigia simu, utaweza:

  • Kutelezesha juu ili kukubali kujibu simu.
  • Kutelezesha juu kukataa kukataa simu.
  • Kutelezesha juu kujibu kukataa simu na ujumbe wa haraka.

Kama simu yako haikufungwa, utaona ibukizi ya Simu ya sauti inaingia wakati mtu fulani anapokupigia simu, ambapo unaweza kugusa Kataa au Jibu.

Kubadilisha kati ya simu za sauti na simu za video

Kubadilisha kutoka kwa simu ya sauti kuenda kwa simu ya video
  1. Ukiwa kwenye simu ya sauti, gusa Simu ya video > BADILISHA.
  2. Mwasiliani unayempigia ataona ombi la kubadilisha kuenda kwenye simu ya video na anaweza kukubali au kukataa ubadilisho huo.
Badili kutoka kwa simu ya video kwenda kwa simu ya sauti
  1. Ukiwa kwenye simu ya video, gusa Zima Video, itamjulisha mwasiliani kuwa unampigia simu ya video.
  2. Mara mwasiliani akizimapo video yake, simu itabadilishwa na kuwa simu ya sauti.
Dokezo:
  • Hakikisha kwamba wewe na waasiliani wako muna muunganisho wa Intaneti imara wakati munapiga au kupokea simu za video za kikundi. Ubora wa simu utategemea mwasiliani mwenye muunganisho dhaifu.
  • Huwezi kufikia nambari za huduma za dharura kupitia WhatsApp kama vile 911 nchini Marekani. Kupiga simu za dharura, lazima ufanye mipango mbadala ya mawasiliano.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kupiga simu ya sauti ya kikundi kwenye: Android | iPhone
  • Jinsi ya kupiga simu kwenye iPhone
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti