Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
AndroidSimu za Sauti na Video

Jinsi ya kupiga simu ya video

Kupiga simu ya video kunakuwezesha kupiga simu ya video kwa waasiliani wako kwa kutumia WhatsApp.


Piga simu ya video

  1. Fungua soga ya WhatsApp na mwasiliani unayetaka kumpigia simu ya video.
  2. Gusa Simu ya video.

Mbadala, fungua WhatsApp, gusa SIMU gusa > Simu mpya. Tafuta mwasiliani unayetaka kumpigia simu ya video, kisha gusa Simu ya video.

Pokea simu ya video

Kama simu yako imefungwa, utaona kwenye skrini inayoingia ya Simu ya video ya WhatsApp unapopigiwa simu ya video na mtu fulani, ambapo unaweza:

  • Kutelezesha juu kukubali.
  • Kutelezesha juu kukataa.
  • Kutelezesha juu kujibu kwa kukataa simu na kutuma ujumbe wa haraka.

Kama simu yako haikufungwa, utaona ibukizi ya Simu ya video inayoingia mtu fulani anapokupigia simu, ambapo unaweza kugusa Kataa au Jibu.

Kubadilisha kati ya simu ya video na za sauti

Kubadilisha kutoka kwa simu ya video kwenda kwa simu ya sauti
  1. Ukiwa kwenye simu ya video, gusa Zima Video, itamjulisha mwasiliani kuwa unampigia simu ya video.
  2. Mara tu mwasiliani akizima video yake, simu itabadilishwa na kuwa simu ya sauti.
Kubadilisha kutoka kwa simu ya sauti kwenda kwa simu ya video
  1. Ukiwa kwenye simu ya sauti, gusa Simu ya video > BADILISHA.
  2. Mwasiliani unayempigia ataona ombi la kubadili kuwa simu ya video na anaweza kukubali au kukataa ubadilisho huo.
Dokezo:
  • Hakikisha kwamba wewe na waasiliani wako mna muunganisho imara wa intaneti unapiga au kupokea simu za video. Ubora wa simu ya video utategemea mwasiliani aliye na muunganisho dhaifu.
  • Upigaji wa simu ya video unapatikana tu kwenye simu za Android zinazotumia 4.1 au mpya.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kupiga simu ya video ya kikundi kwenye: Android | iPhone
  • Jinsi ya kupiga simu ya video kwenye iPhone
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti