Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Android
  2. Simu za Sauti na Video

Jinsi ya kupiga simu ya video

Kupiga simu ya video kunakuwezesha kuzungumza kwa video na watu unaowasiliana nao kwa kutumia WhatsApp.

Kupiga simu ya video

  1. Fungua soga ya WhatsApp na mwasiliani unayetaka kumpigia simu ya video.
  2. Gusa Simu ya video.

Au, fungua WhatsApp, gusa SIMU gusa > Simu mpya. Tafuta mwasiliani unayetaka kumpigia simu ya video, kisha gusa Simu ya video.

Kupokea simu ya video

Kama simu yako imefungwa, utaona kwenye skrini inayoingia ya Simu ya video ya WhatsApp unapopigiwa simu ya video na mtu fulani, ambapo unaweza:

  • Kutelezesha juu kukubali.
  • Kutelezesha juu kukataa.
  • Kutelezesha juu kujibu ili ukatae simu na kutuma ujumbe wa haraka.

Kama simu yako haijafungwa, utaona arifa ibukizi Simu ya video inayoingia mtu fulani anapokupigia simu, ambapo unaweza kugusa Kataa au Jibu.

Kubadilisha kati ya simu ya video na ya sauti

Kubadili kutoka simu ya video kuwa simu ya sauti
  1. Ukiwa kwenye simu ya video, gusa Zima Video, hatua itakayomjulisha unayewasiliana naye kuwa unampigia simu ya video.
  2. Mara tu mwasiliani akizima video yake, simu itabadilishwa na kuwa simu ya sauti.
Kubadili kutoka simu ya sauti kuwa simu ya video
  1. Ukiwa kwenye simu ya sauti, gusa Simu ya video > BADILISHA.
  2. Unayempigia ataona ombi la kubadilisha kuwa simu ya video na anaweza kukubali au kukataa kubadili.
Kumbuka:
  • Hakikisha kwamba wewe na waasiliani wako mna muunganisho imara wa intaneti unapiga au kupokea simu za video. Ubora wa simu ya video utategemea mwasiliani aliye na muunganisho dhaifu.
  • Upigaji wa simu ya video unapatikana tu kwenye simu za Android zinazotumia toleo la 4.1 au matoleo mpya.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kupiga simu ya video ya kikundi kwenye: Android | iPhone
  • Jinsi ya kupiga simu ya video kwenye iPhone
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti