Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Android
  2. Simu za Sauti na Video

Jinsi ya kupiga simu ya video ya kikundi

Simu ya kikundi huruhusu hadi washiriki wanane kupigiana simu za video kwa kutumia WhatsApp. Unapopokea simu ya video ya kikundi, skrini ya simu ya video ya kikundi cha WhatsApp inayoingia itaonyesha washiriki waliopo kwenye simu hiyo, mtu wa kwanza kwenye orodha atakuwa ni mshiriki aliyekuongeza. Historia ya simu ya video ya kikundi itaonekana kwenye kichupo cha SIMU. Unaweza kugusa historia ya simu ili uone wahusika mahususi kwenye simu. Unaweza pia kujiunga na simu ambazo hukujibu iwapo zinaendelea.

Kupiga simu ya video ya kikundi

Kupiga simu ya video ya kikundi kutoka kwenye soga ya kikundi
  1. Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp unachotaka kupigia simu ya video.
  2. Ikiwa kikundi chako cha soga kina washiriki 33 au zaidi, gusa Simu ya kikundi.
    • Ikiwa kikundi chako cha soga kina washiriki 32 au wachache, gusa Simu ya Video kisha uthibitishe uamuzi wako. Watu saba wa kwanza watakaojibu wanaweza kujiunga na simu, ni wanakikundi pekee ndio wanaweza kushiriki.
  3. Tafuta washiriki unaotaka kuwaongeza kwenye simu, kisha gusa Simu ya video.
Kupiga simu ya kikundi kutoka kwenye kichupo cha SIMU
  1. Fungua WhatsApp, kisha gusa kichupo cha SIMU.
  2. Gusa Simu mpya > Simu mpya ya kikundi.
  3. Tafuta washiriki unaotaka kuwaongeza kwenye simu, kisha gusa Simu ya video.
Kupiga simu ya video ya kikundi kutoka kwenye soga ya binafsi
  1. Fungua soga ya WhatsApp ya mmoja wa watu unaotaka kuwapigia simu ya video.
  2. Gusa Simu ya video.
  3. Mara baada ya mshiriki kukubali simu, gusa Fungua > Ongeza mshiriki.
  4. Tafuta mshiriki mwingine unayetaka kumwongeza kwenye simu kisha gusa ONGEZA.
  5. Gusa Ongeza mshiriki kama unataka kuongeza washiriki zaidi.

Kujiunga na simu ya video ya kikundi

Kujiunga na simu ya video ya kikundi inayoingia
  1. Utapokea arifa mtu anapokualika ujiunge kwenye simu ya video ya kikundi.
  2. Ikiwa huwezi kujiunga, gusa Puuza. Ili ufungue skrini ya maelezo ya simu, gusa Jiunge.
  3. Kutoka kwenye skrini ya maelezo ya simu, unaweza kukagua kwanza washiriki wa simu na waalikwa wengine.
  4. Gusa Jiunge ili ujiunge kwenye simu.
  5. Ukiwa kwenye simu, gusa Fungua ili ufungue skrini ya maelezo ya simu.
    • Gusa Ongeza mshiriki ili uongeze washiriki zaidi kwenye simu.
    • Gusa PIGA ili utume arifa kwa watu ambao wameshaalikwa.
Kujiunga na simu ya video ya kikundi ambayo hukujibu
  1. Fungua WhatsApp, kisha gusa kichupo cha SIMU.
  2. Ikiwa simu ilianzishwa kutoka kwenye soga ya kikundi, unaweza kujiunga kwa kufungua soga hiyo halafu uguse Jiunge.
  3. Ikiwa simu inaendelea, gusa simu ambayo ungependa kujiunga nayo. Hatua hii itafungua skrini ya maelezo ya simu.
  4. Kutoka kwenye menyu ya simu, gusa Jiuge.
Kumbuka:
  • Ni washiriki wanane tu ndio wanaoweza kuwa katika simu kwa wakati mmoja.
  • Hakikisha kwamba wewe na unaowasiliana nao mna muunganisho imara wa intaneti wakati wa kupiga au kupokea simu za video. Ubora wa simu ya video utategemea mtu mwenye muunganisho hafifu.
  • Wakati wa simu ya video ya kikundi, una hiari ya kuzima video yako kwa kugusa Zima video.
  • Huwezi kuondoa mhusika wakati mko kwenye simu ya video ya kikundi. Mtumiaji atahitaji kukata simu ili kujiondoa kwenye simu hiyo.
  • Ingawa inawezekana kuwa kwenye simu ya video ya kikundi pamoja na mtu uliyemzuia, huwezi kuongeza anwani ambayo umezuia kwenye simu au mtu aliyekuzuia.
  • Upigaji wa simu ya video unapatikana tu kwenye simu za Android zinazotumia toleo la 4.1 au matoleo mapya.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kupiga simu ya video kwenye: Android | iPhone
  • Jinsi ya kupiga simu ya video ya kikundi kwenye iPhone
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti