Maswali Yanayoulizwa Sana
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
AndroidUtatuaji

Matatizo ya idadi ya beji

Idadi isiyo sahihi ya beji kwenye ikoni ya WhatsApp inasababishwa na tatizo kwenye simu yako. Tafadhali jaribu hatua hizi ili kuianzisha:

  • Muulize mtu akutumie ujumbe mpya wa WhatsApp. Hii lazima ichangamshe idadi ya ujumbe kiotomatiki.
  • Gusa na ushikilie kwenye Ikoni ya WhatsApp na ukipeleke kwenye ikoni ya takataka (kawaida iko juu ya skrini), kisha gusa ikoni mpya ya WhatsApp kutoka kwenye dawati lako la programu kwenye skrini yako ya nyumbani.
  • Ondoa WhatsApp. Nenda Mipangilio > Kifaa > Programu tumizi > Programu simamizi > Zaidi > Onyesha programu za mfumo > Mtoaji wa Beji > Hifadhi (njia yaweza kua tofauti inategemea simu yako) au kwa programu yako ya idadi ya beji, gusa Futa Data, na kisha sakinisha tena WhatsApp.
  • Nenda Mipangilio > Mfumo > Hiari ya msanidi na hakikisha Usiweke shughuli imezimwa. Ikiwa hauna hiari ya msanidi, ruka hii.
  • Nenda Mipangilio > Kifaa > Programu tumizi > Programu simamizi > WhatsApp > Hifadhi na gusa Futa Data. Utahitajika kuthibitisha namba yako ya simu wakati mwingine ukifungua WhatsApp.

Idadi ya beji ni utendaji wa taarifa unaotolewa na kizinduzi chako na sio utendaji wa WhatsApp. Ikiwa utaendelea kupata matatizo, tafadhali wasiliana na mtengenezaji wa simu yako.

Tafuta jinsi ya kupata idadi ya beji kwenye programu yako hapa.

Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti