Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Android
  2. Utatuaji

Matatizo ya arifa

Kuhakikisha upokeaji wa jumbe za WhatsApp na arifa kwa mda muafaka, hakikisha simu yako imesanidiwa vizuri.

Hakikisha simu yako ina muunganisho wa intaneti

Unaweza kuangalia kwa kufungua kivinjari na kuenda kwenye tovuti. Ikiwa hii haifanyi kazi, tafadhali fuata hatua hizi za utatuaji wa muuganisho.

Ikiwa kuvinjari kunafanya kazi, lakini WhatsApp haifanyi, tafadhali wasiliana na mtoa huduma wako wa simu ya mkononi na msimamizi wa mfumo na uhakikishe kwamba APN yako na kipanga njia zimesanidiwa kwa usahihi ili kuruhusu muunganisho usio wa wavuti na tundu. Unaweza pia kujaribu muunganisho tofauti. Ikiwa umeunganishwa na Wi-Fi, jaribu data ya simu au kinyume chake.

Hakikisha data ya nyuma haikuzuiwa
  1. Fungua kwenye simu yako Mipangilio programu > Programu > WhatsApp > Utumizi wa data.
  2. Hakikisha data ya nyuma haizuiwi.
  3. Rudia hatua za hapo juu kwa Huduma za Google.

Utatuaji ziada

  • Anzisha upya simu yako au zima na washa.
  • Anzisha mapendekezo ya programu yako kwa kuenda kwenye simu yako Mipangilio programu > Programu > Menyu ikoni > Anzisha mapendekezo ya programu.
  • Zuia hali ya kuokoa nishati kuwezesha, kwa mfano kwa kuacha simu yako imeunganishwa na chanzo cha umeme.
  • Jitoe WhatsApp Web kwa kwenda kwenye WhatsApp > Hiari zaidi > WhatsApp Web > Jitoe kwenye kompyuta zote.
  • Washa Wi-Fi yako wakati wa muundo wa kulala kwa kwenda kwenye simu yako Mipangilio programu > Wi-Fi > Ikoni ya mipangilio > Washa Wi-Fi yako wakati wa muundo wa kulala > Kila mara.
  • Ondoa viua jukumu vyovyote. Hizi zitazuia programu kutopokea jumbe wakati huitumii.
  • Zindua programu ya Hangouts na ujiondoe kutoka kwa akaunti zako zote. Kisha zindua tena Hangouts na ingia tena.
Utatuaji maalum ziada wa OS
  • Android 4.1 – 4.4
    • Hakikisha kuwa data ya kusawazisha kiotomatiki imewashwa kwenye simu yako Mipangilio programu > Utumizi wa data > Menyu ikoni > data kusawazisha kiotomatiki.
    • Hakikisha kuwa uboreshaji wa Wi-Fi umezimwa kwenye simu yako Mipangilioprogramu > Wi-Fi > Menyu ikoni > Juu > Uboreshaji wa Wi-Fi.
  • Android 6.0+
    • Hakikisha Usisumbue imezimwa au umeruhusu arifa za WhatsApp katika kwa kipaumbele kwenye simu yako Mipangilio programu > Sauti > Usisumbue.
    • Hakikisha ruhusa zote za WhatsApp zinapewa kwenye simu yako Mipangilio programu > Programu > WhatsApp > Ruhusa.

Ikiwa hakuna hatua yoyote hapo juu itasaidia, inawezekana kwamba hupokei sasisho kutoka kwa huduma ya arifa ya Google.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti