Jinsi ya kufuta sasisho ya hali yako
Unaweza kufuta sasisho ya hali kwenye WhatsApp.
Kufuta sasisho ya hali
- Fungua WhatsApp > HALI.
- Gusa Hali yangu.
- Una hiari kadhaa:
- Gusa Zaidi
karibu na sasisho ya hali unayotaka kuifuta. Kisha, gusa Futa > FUTA. - Kama unataka kufuta hali ya sasisho kadhaa, gusa na shikilia sasisho ya hali unayotaka kuifuta, kisha gusa Futa
> FUTA.