Jinsi ya kutumia kufuli cha alama ya kidole ya Android
Kama hatua ya nyongeza ya faragha, unaweza uongeze kufuli cha alama ya kidole unapofungua WhatsApp kwenye simu yako. Hii ikiwezeshwa, itabidi utumie alama ya kidole chako kufikia programu.
Sogeza mpaka chini na gusa Kufuli cha Alama ya kidole.
Zima Fungua na alama ya kidole.
Kumbuka:
Kufuli cha alama ya kidole kinapatikana tu kwenye vifaa vya Android vilivyo na kihisio cha alama ya kidole zinazoendesha Android 6.0+ zinazowezesha API ya Google ya alama ya kidole.
Kipengele hiki hakiwezeshwi kwenye Samsung Galaxy S5, Samsung Galaxy Note 4, au Samsung Galaxy Note 8.
Ili kutumia kufuli cha alama ya kidole, utahitaji kukiwezesha kwenye mipangilio ya simu yako.