Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Android
  2. Usalama na Faragha

Jinsi ya kutumia kufuli cha alama ya kidole ya Android

Kama hatua ya nyongeza ya faragha, unaweza uongeze kufuli cha alama ya kidole unapofungua WhatsApp kwenye simu yako. Hii ikiwezeshwa, itabidi utumie alama ya kidole chako kufikia programu.

Wezesha kufuli cha alama ya kidole

  1. Fungua WhatsApp > gusa Hiari zaidi > Mipangilio > Akaunti > Faragha.
  2. Sogeza mpaka chini na gusa Kufuli cha Alama ya kidole.
  3. Washa Fungua na alama ya kidole.
  4. Gusa kihisio cha alama ya kidole kuthibitisha alama ya kidole chako.
  5. Unaweza kugusa kuchagua muda kabla uthibitisho wa alama ya kidole iwezeshwe.
    • Washa Onyesha maudhui kwenye arifa ukitaka kuwa na mwonekano wa ujumbe wa maandishi ndani ya arifa za ujumbe mpya.

Lemaza kufuli cha alama ya kidole

  1. Fungua WhatsApp > gusa Hiari zaidi > Mipangilio > Akaunti > Faragha.
  2. Sogeza mpaka chini na gusa Kufuli cha Alama ya kidole.
  3. Zima Fungua na alama ya kidole.
Kumbuka:
  • Kufuli cha alama ya kidole kinapatikana tu kwenye vifaa vya Android vilivyo na kihisio cha alama ya kidole zinazoendesha Android 6.0+ zinazowezesha API ya Google ya alama ya kidole.

  • Kipengele hiki hakiwezeshwi kwenye Samsung Galaxy S5, Samsung Galaxy Note 4, au Samsung Galaxy Note 8.

  • Ili kutumia kufuli cha alama ya kidole, utahitaji kukiwezesha kwenye mipangilio ya simu yako.

  • Unaweza bado kujibu simu kama programu imefungwa.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti