Hapa kuna baadhi ya hiari mbadala za kumzuia mwasiliani:
Fungua soga na mwasiliani, kisha gusa Hiari zaidi > Zaidi > Zuia > ZUIA au RIPOTI NA ZUIA, ambayo ita ripoti na kuzuia namba hiyo.
Fungua soga na mwasiliani, kisha gusa jina la mwasiliani > Zuia > ZUIA.
Zuia namba ya simu isiyojulikana
Fungua soga ya WhatsApp na namba ya simu isiyojulikana.
Gusa ZUIA.
Gusa ZUIA au RIPOTI NA ZUIA, ambayo ita ripoti na kuzuia namba.
Kumbuka:
Ujumbe, simu na sasisho za hali zilizotumwa na mwasiliani aliyezuiwa hazitaonekana kwenye simu yako na hazitapokelewa kwako.
Mwisho kaonwa kwako, mtandaoni, sasisho za hali na mabadiliko yoyote uliyofanya kwa picha ya jalada lako hayataonekana tena kwa waasiliani uliowazuia.
Kumzuia mwasiliani hakutamwondoa kutoka kwenye orodha yako ya waasiliani, wala hakutakuondoa kutoka kwenye orodha kwenye simu ya mwasiliani. Kufuta mwasiliani, lazima umfute mwasiliani kutoka kwenye kitabu cha anwani cha simu yako.
Kama una wasiwasi kuwa mwasiliani aliyezuiwa atajua unamzuia, tafadhali soma makala hii.
Ukimruhusu mwasiliani, hutapokea ujumbe, simu au sasisho za hali zilizotuma na mwasilia wakati alipokuwa amezuiwa.
Ukimruhusu mwasiliani au namba ya simu ambayo haijahifadhiwa hapo awali kwenye kitabu cha anwani ya simu yako, huwezi kumrejesha mwasiliani huyo au namba ya simu kwenye kifaa chako.
Rasilimali zinazohusiana:
Jinsi ya kuzuia na kuruhusu waasiliani: iPhone | KaiOS