Haiwezekani kuhamisha WhatsApp kwa kadi ya kumbukumbu (kadi ya SD) kwa wakati huu.
Tunajitahidi kuboresha ukubwa wa programu-tumizi yetu na matumizi ya kumbukumbu. Kwa wakati huu, ikiwa unahitaji kuweka huru nafasi kwa ajili ya WhatsApp, tunapendekeza uhamishe programu-tumizi zingine na faili za media kwa kadi yako ya SD.