Tunatoa msaada kwa vifaa vya Android ambavyo vinakidhi mahitaji yafuatayo:
Utahitaji pia mpango wa data ili kupokea ujumbe wakati uko nje ya mtandao wa Wi-Fi.
Kumbuka: Tunatoa msaada wenye kikomo kwa kompyuta kibao za Android zenye SIM kadi amilifu na hatuwezeshi vifaa vya Wi-Fi pekee.