Jinsi ya kushirikisha msimbo wako wa WhatsApp QR
- Fungua WhatsApp > gusa Hiari zaidi
> Mipangilio. - Gusa aikoni ya QR inayoonyeshwa karibu na jina lako.
- Gusa Shirikisha
. - Chagua mwasiliani au programu ya kushirikishia. Kisha, gusa mshale wa kijani.
- Unaweza pia kuchagua:
- Kukata au kuzungusha: Gusa
kukata au kuzungusha picha ya msimbo wa QR. - Kuongeza manukuu: Ingiza ujumbe kwenye uga wa matini.
- Nyuma : Gusa Nyuma
kugeuza mabadiliko uliyofanya kwenye picha ya msimbo wako wa QR.
- Kukata au kuzungusha: Gusa
- Gusa Tuma
.
Dokezo: Shirikisha tu msimbo wako wa WhatsApp QR na watu unaowaamini. Inawezekana kwa mtu fulani kusambaza msimbo wako wa WhatsApp QR kwa watu wengine, ambao wanaweza kukuongeza kama mwasiliani kwa kukagua msimbo wako.
Rasilimali zinazohusiana:
Kuhusu Msimbo wa WhatsApp QR
Jinsi ya kuangalia msimbo wako wa WhatsApp QR
Jinsi ya kukagua msimbo wa WhatsApp QR