Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Android
  2. Waasiliani

Jinsi ya ku kagua msimbo wa WhatsApp QR

Unaweza ku kagua msimbo wako wa WhatsApp QR kuongea rafiki au maelezo ya mmoja wa wana familia kwenye WhatsApp.

Kagua msimbo wa WhatsApp QR

Kagua kwa kibinafsi

  1. Fungua WhatsApp > gusa Hiari zaidi > Mipangilio.
  2. Gusa ikoni QR inayo onyeshwa karibu na jina lako.
  3. Gusa KAGUA MSIMBO.
  4. Shikilia kifaa chako juu ya msimbo wa QR kukagua.
  5. Gusa ONGEZA.

Unaweza pia kukagua kutokea kwa kamera ya WhatsApp:

  1. Fungua WhatsApp > gusa Kamera.
  2. Shikilia kifaa chako juu ya msimbo wa QR kukagua.
  3. Gusa ONGEZA.

Kagua kutoka kwa Matunzio

  1. Fungua WhatsApp > gusa Hiari zaidi > Mipangilio.
  2. Gusa ikoni QR inayo onyeshwa karibu na jina lako.
  3. Gusa KAGUA MSIMBO.
  4. Gusa ikoni Matunzio chini ya skrini.
  5. Chagua msimbo wa WhatsApp QR kutoka kwa Matunzio yako au gusa Zaidi > Picha kuchagua kutoka kwa Picha zako.
  6. Gusa SAWA.
  7. Gusa ONGEZA.

Kagua kutoka kwa skrini ya Waasiliani Wapya

  1. Fungua WhatsApp > gusa Soga mpya.
  2. Gusa ikoni QR jirani na Waasiliani wapya.
  3. Gusa KAGUA MSIMBO.
  4. Gusa ONGEZA.

Kagua kutoka kwa kamera ya WhatsApp

  1. Fungua WhatsApp > gusa Kamera.
  2. Chagua picha yenye msimbo wa QR wa kukagua.
  3. Gusa ONGEZA.

Kagua ndani ya soga

  1. Fungua WhatsApp na nenda kwa soga ya kibinafsi au ya kikundi.
  2. Gusa ikoni kamera.
  3. Chagua picha yenye msimbo wa QR wa kukagua.
  4. Gusa ONGEZA.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Kuhusu Misimbo ya WhatsApp QR

  • Jinsi ya kutazama msimbo wa WhatsApp QR

  • Jinsi ya kushirikisha msimbo wako wa WhatsApp QR

  • Jinsi ya kurejesha msimbo wa WhatsApp QR

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti