Jinsi ya ku kagua msimbo wa WhatsApp QR
Unaweza ku kagua msimbo wako wa WhatsApp QR kuongea rafiki au maelezo ya mmoja wa wana familia kwenye WhatsApp.
Kagua msimbo wa WhatsApp QR
Kagua kwa kibinafsi
- Fungua WhatsApp > gusa Hiari zaidi
> Mipangilio. - Gusa ikoni QR inayo onyeshwa karibu na jina lako.
- Gusa KAGUA MSIMBO.
- Shikilia kifaa chako juu ya msimbo wa QR kukagua.
- Gusa ONGEZA.
Unaweza pia kukagua kutokea kwa kamera ya WhatsApp:
- Fungua WhatsApp > gusa Kamera
. - Shikilia kifaa chako juu ya msimbo wa QR kukagua.
- Gusa ONGEZA.
Kagua kutoka kwa Matunzio
- Fungua WhatsApp > gusa Hiari zaidi
> Mipangilio. - Gusa ikoni QR inayo onyeshwa karibu na jina lako.
- Gusa KAGUA MSIMBO.
- Gusa ikoni Matunzio chini ya skrini.
- Chagua msimbo wa WhatsApp QR kutoka kwa Matunzio yako au gusa Zaidi
> Picha kuchagua kutoka kwa Picha zako. - Gusa SAWA.
- Gusa ONGEZA.
Kagua kutoka kwa skrini ya Waasiliani Wapya
- Fungua WhatsApp > gusa Soga mpya
. - Gusa ikoni QR jirani na Waasiliani wapya.
- Gusa KAGUA MSIMBO.
- Gusa ONGEZA.
Kagua kutoka kwa kamera ya WhatsApp
- Fungua WhatsApp > gusa Kamera
. - Chagua picha yenye msimbo wa QR wa kukagua.
- Gusa ONGEZA.
Kagua ndani ya soga
- Fungua WhatsApp na nenda kwa soga ya kibinafsi au ya kikundi.
- Gusa ikoni kamera.
- Chagua picha yenye msimbo wa QR wa kukagua.
- Gusa ONGEZA.
Rasilimali zinazohusiana:
Kuhusu Misimbo ya WhatsApp QR
Jinsi ya kutazama msimbo wa WhatsApp QR
Jinsi ya kurejesha msimbo wa WhatsApp QR