Jinsi ya kuanzisha upya msimbo wako wa WhatsApp QR
Unaweza kuanzisha upya msimbo wako wa WhatsApp QR wakati wowote kuufanya msimbo wa awali batili na uunde msimbo mpya wa WhatsApp QR. Kama ukifuta akaunti yako ya WhatsApp, msimbo wako wa WhatsApp QR pia uta futwa.
Anzisha upya msimbo wa QR
- Fungua WhatsApp > gusa Hiari zaidi
> Mipangilio. - Gusa ikoni QR inayo onyeshwa karibu na jina lako.
- Gusa Zaidi
> Anzisha upya msimbo wa QR > ANZISHA UPYA > SAWA.
Rasilimali zinazohusiana:
Kuhusu Misimbo ya WhatsApp QR
Jinsi ya kuangalia msimbo wako wa WhatsApp QR
Jinsi ya kukagua msimbo wa WhatsApp QR