Jinsi ya kumfuta mwasiliani
- Fungua WhatsApp na nenda kwenye tab ya Soga.
- Gusa Soga Mpya
. - Tafuta au chagua mwasiliani unayetaka kumfuta.
- Gusa jina la mwasiliani iliyo juu..
- Gusa Hiari zaidi
> Tazama kwenye kitabu cha anwani > Hiari zaidi > Futa.
Kisha, onyesha upya waasiliani wako wa WhatsApp:
Fungua WhatsApp > gusa Soga Mpya