Jinsi ya kuongeza mwasiliani
- Fungua WhatsApp.
- Nenda kwenye tab ya Soga.
- Gusa Soga mpya
> Mwasiliani mpya .
Kuongeza waasiliani wanaotumia nambari za simu za kimataifa, soma makala haya.
Kuongeza waasiliani wanaotumia nambari za simu za kimataifa, soma makala haya.