Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Android
  2. Soga

Jinsi ya kutumia vibandiko


Kupakua na kutumia vibandiko

  1. Fungua soga ya binafsi au ya kikundi.
  2. Kuongeza vifurushi vya vibandiko, gusa Emoji > Vibandiko > Ongeza.
  3. Gusa Pakua karibu na kifurushi cha vibandiko unachotaka kupakua. Ukiulizwa, gusa PAKUA • {ukubwa wa faili}.
    • Alama ya tiki ya kijani itatokea mara tu upakuaji utakapokamilika.
  4. Gusa Rudi.
  5. Tafuta na uguse kibandiko unachotaka kutuma.

Baada ya kugusa kibandiko, kitatumwa kiotomatiki.

Hiari zaidi:
  • Gusa Karibuni ili uone vibandiko ulivyotumia hivi karibuni.
  • Gusa Vipendwa ili uone vibandiko unavyopendelea.
    • Ili uongeze kibandiko kwenye vipendwa, gusa Emoji > Vibandiko. Gusa na ushikilie kibandiko, kisha gusa ONGEZA. Au, gusa kibandiko ukiwa kwenye dirisha la soga kati yako na mtu binafsi au kikundi ONGEZA KWENYE VIPENDWA.
    • Ili uondoe kibandiko kwenye vipendwa, gusa Emoji > Vibandiko > Vipendwa. Gusa na ushikilie kibandiko, kisha gusa ONDOA. Au, gusa kibandiko ukiwa kwenye dirisha la soga kati yako na mtu binafsi au kikundi ONDOA KWENYE VIPENDWA.
  • Vibandiko huwekwa katika makundi kwa kutegemea emoji zinazoonekana kwenye aikoni. Gusa kisanduku cha moyo ili uone makundi ya vibandiko.
  • Gusa Ongeza ili upate machaguo zaidi ya vibandiko. Sogeza mpaka mwisho wa kichupo cha VIBANDIKO VYOTE halafu uguse PATA VIBANDIKO ZAIDI. Kufanya hivyo kutakupeleka kwenye Duka la Google Play, ambapo utaweza kupakua programu za vibandiko.
  • Gusa Tafuta ili utafute vibandiko mahususi ulivyoovipakua. Unaweza kutafuta vibandiko kwa kutumia maandishi au emoji.
    • Kumbuka: Vibandiko unavyopakua nje ya WhatsApp huenda visiweze kutafutika ikiwa muundaji wa kibandiko hakufuata miongozo ya WhatsApp ya kuwekea vibandiko lebo.
    • Utafutaji wa vibandiko hufanyika nje ya mtandao kabisa. WhatsApp haikusanyi taarifa kuhusu utumiaji wako wa utafutaji wa vibandiko au maneno ya msingi unayotumia wakati wa kutafuta vibandiko.
  • Ili uone vifurushi vya vibandiko ambavyo umepakua, gusa Ongeza > VIBANDIKO VYANGU.
  • Ikiwa unataka kufuta kibandiko mahususi, gusa Futa > FUTA.
  • Ili kupanga vibandiko vyako upya, gusa na uburute Panga upya karibu na furushi la kibandiko.
  • Ili usasishe vifurushi vya vibandiko, gusa Ongeza pindi kitone cha kijani kikitokea. Kwenye kichupo cha VIBANDIKO VYOTE, gusa SASISHA karibu na vifurushi vya vibandiko vinavyohitaji kusasishwa. Ukiulizwa, gusa SASISHA • {ukubwa wa faili}.
    • Alama ya tiki ya kijani itatokea mara tu sashisho litakapokamilika.

Vibandiko vinapatikana kwenye matoleo ya hivi karibuni ya WhatsApp. Kama huoni vibandiko, hakikisha unasasisha ili upate toleo jipya zaidi la WhatsApp kwenye duka la programu la simu yako.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kuunda vibandiko
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti