Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
AndroidSoga

Jinsi ya kutumia mahali mubashara

Kipengele cha Mahali Mubashara kinakuruhusu kushirikisha mahali pako halisi kwa muda maalum na washiriki wa soga ya kibinafsi au kikundi. Unaweza kudhibiti kama unataka kushirikisha mahali pako mubashara na kwa muda gani. Pia unaweza kusitisha kushirikisha mahali mubashara wakati wowote. Unaposimamisha au muda ukiisha, mahali pako mubashara hapataendelea kushirikishwa. Watu ulioshirikishia mahali mubashara wataendelea kuona mahali pako ulipo shirikisha kama picha ya alama ya kidole, na gusa picha kuona mahali pako pa mwisho.

Kipengele hiki kina ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho, ambao unamaanisha kuwa hakuna mtu anayeweza kuona mahali mubashara isipokuwa watu uliowashirikisha. Kujifunza zaidi kuhusu usalama kwenye WhatsApp, tafadhali tembelea Usalama wa WhatsApp. Unaweza pia kusoma Sera yetu ya Faragha kwa maelezo zaidi kuhusu mazoezi ya faragha ya WhatsApp.

Shirikisha mahali pako mubashara

  1. Wezesha ruhusa za mahali za WhatsApp kwenye Mipangilio ya simu yako > Programu & arifa > Juu > Ruhusa za programu > Mahali > washa WhatsApp. Mbadala, ikiwa ulifungua WhatsApp hivi karibuni, kwenye simu yako unaweza kwenda Mipangilio > Programu & arifa > WhatsApp > Ruhusa > washa Mahali.
  2. Kufungua soga ya kibinafsi au kikundi.
  3. Gusa Ambatanisha > Mahali > Shirikisha mahali mubashara.
  4. Chagua urefu wa muda utakaopenda kushirikisha mahali pako mubashara. Mahali mubashara pako pataacha kushirikishwa baada ya muda uliyochagua.
    • Kwa hiari, ongeza maoni.
  5. Gusa Tuma.

Acha kushirikisha mahali mubashara pako

Kuacha kushirikisha mahali pako mubashara katika soga maalumu au kikundi

  1. Fungua soga hiyo ya kibinafsi au kikundi.
  2. Gusa Acha kushirikisha > ACHA.

Kuacha kushirikisha mahali pako mubashara katika soga zote za kibinafsi na vikundi

  1. Gusa Hiari zaidi > Mipangilio > Akaunti > Faragha > Mahali mubashara.
  2. Gusa ACHA KUSHIRIKISHA > ACHA.

Kumbuka:

  • Unaweza kulemaza ruhusa za mahali za WhatsApp wakati wowote kwenye simu yako nenda Mipangilio > Programu & arifa > Juu > Ruhusa za programu > Mahali > washa WhatsApp.
  • Mbadala, ikiwa ulifungua WhatsApp hivi karibuni, kwenye simu yako unaweza kwenda Mipangilio > Programu & arifa > WhatsApp > Ruhusa > zima Mahali.

Rasilimali zinazohusiana:

Jinsi ya kutumia mahali mubashara kwenye iPhone

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti