Jinsi ya kutuma GIF
Unaweza kutuma GIF kwa soga za kibinafsi au kikundi.
- Fungua WhatsApp.
- Fungua soga ya kibinafsi au kikundi.
- Gusa Emoji
> GIF. - Gusa Tafuta
kutafuta GIF maalumu. - Gusa GIF unayotaka kutuma.
- Gusa Tuma
.
Unaweza kutuma GIF kwa soga za kibinafsi au kikundi.