Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
AndroidSoga

Jinsi ya kuhifadhi historia yako ya soga

Soga zako za WhatsApp huchelezwa kiotomatiki na kuhifadhiwa kila siku kwenye kumbukumbu ya simu yako. Kutegemea mipangilio yako, pia unaweza kucheleza soga zako za WhatsApp mara kwa mara kwenye Hifadhi ya Google. Ukiondoa WhatsApp kwenye simu yako, lakini hutaki kupoteza ujumbe wowote, hakikisha unacheleza soga zako kabla ya kuondoa programu.

Kucheleza soga

Nenda kwenye WhatsApp > gusa Chaguo zaidi > Mipangilio > Soga > Chelezo ya soga > CHELEZA.

Kuhamisha historia ya soga

Unaweza kutumia kipengele cha kuhamisha soga ili uhamishe nakala ya historia ya soga kutoka kwenye soga ya binafsi au ya kikundi.

  1. Fungua soga ya binafsi au ya kikundi.
  2. Gusa Chaguo zaidi > Zaidi > Hamisha soga.
  3. Chagua ikiwa unataka kuhamisha pamoja na midia au bila midia.

Barua pepe itatungwa huku historia yako ya soga ikiwa imeambatishwa kama hati ya .txt.

Kumbuka:

  • Ikiwa upo Ujerumani, huenda itakubidi usasishe WhatsApp kabla ya kutumia kipengele cha kuhamisha.
  • Ukichagua kuambatisha midia, midia ya hivi karibuni zaidi yatawekwa kwenye viambatisho.
  • Unapohamisha pamoja na midia, unaweza kutuma hadi ujumbe 10,000 wa hivi karibuni. Bila midia, unaweza kutuma hadi ujumbe 40,000. Vikwazo hivi kwa sababu ya kima cha juu kinachoruhusiwa kwenye barua pepe.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kurejesha historia yako ya soga

  • Jinsi ya kucheleza kwenye Hifadhi ya Google

  • Imeshindwa kuanzisha au kuunda nakala rudufu ya Hifadhi ya Google Drive

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti