Unaweza kutuliza arifa za kikundi kwa muda maalum. Bado utapokea jumbe zinazotumwa kwa soga ya kikundi, lakini simu yako haitatikisika au kupiga kelele zinapopokelewa.
Kutuliza arifa za kikundi:
Mbadala, gusa na shikilia tab ya kikundi kwenye tab ya SOGA. Kisha gusa ikoni ya Tuliza arifa iliyo kwenye kona ya juu > chagua urefu wa muda ambao ungependa kutuliza arifa > gusa SAWA.
Kuliza arifa za kikundi: