Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Android
  2. Soga

Jinsi ya kunyamazisha au kuruhusu arifa za kikundi

Unaweza kunymazisha arifa za kikundi kwa muda maalum. Bado utapokea ujumbe uliotumwa kwenye soga ya kikundi, lakini simu yako haitatetema au kutoa sauti ujumbe unapopokelewa.

Kunyamazisha arifa za kikundi

  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Au, gusa na ushikilie kikundi kwenye kichupo cha SOGA. Kisha, gusa aikoni ya Nyamazisha arifa kwenye kona ya juu.
  2. Gusa Nyamazisha arifa.
  3. Chagua muda ambao ungependa kunyamazisha arifa.
    • Unaweza pia kuondoa alama ya tiki kwenye Onyesha arifa ili arifa ziache kuonyeshwa kwenye skrini ya arifa.
  4. Gusa SAWA.

Kurejesha arifa za kikundi

  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
  2. Gusa Ruhusu arifa.
    • Au, gusa na ushikilie kikundi kwenye kichupo cha SOGA. Kisha, gusa aikoni ya Ruhusu arifa kwenye kona ya juu.
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti