Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
AndroidSoga

Jinsi ya kufanya mabadiliko kwenye vikundi

Kwa kawaida, mshiriki yeyote wa kikundi wanaweza kubadili mada ya kikundi, ikoni, maelezo au kutuma jumbe. Hata hivyo, mtawala wa kikundi anaweza kubadilisha mipangilio ya kikundi kuruhusu watawala tu kuhariri maelezo ya kikundi au kutuma jumbe.

Badili mada ya kikundi

  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Mbadala, gusa na shikilia tab ya kikundi kwenye tab ya SOGA. Kisha gusa Hiari zaidi > Maelezo ya kikundi.
  2. Gusa Hariri upande wa kulia wa mada ya kikundi.
  3. Ingiza mada mpya, kisha gusa SAWA.
    • Kikomo cha mada ni herufi 25.
    • Unaweza kuongeza emoji kwenye mada kwa kugusa ikoni ya Emoji.

Badili ikoni ya kikundi

  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Mbadala, gusa na shikilia tab ya kikundi kwenye tab ya SOGA. Kisha gusa Hiari zaidi > Maelezo ya kikundi.
  2. Gusa ikoni ya kikundi > Hariri.
  3. Chagua kutumia Matunzio yako, Kamera au Tafuta Mtandaoni kwa picha mpya au unaweza Ondoa ikoni.

Badili maelezo ya kikundi

  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Mbadala, gusa na shikilia tab ya kikundi kwenye tab ya SOGA. Kisha gusa Hiari zaidi > Maelezo ya kikundi.
  2. Gusa maelezo ya kikundi.
  3. Ingiza maelezo mapya, kisha gusa SAWA.

Rasilimali zinazohusiana:

Jinsi ya kubadlisha mipangilio ya utawala wa vikundi

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti