Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Android
  2. Soga

Jinsi ya kufanya mabadiliko kwenye vikundi

Kwa chaguomsingi, mshiriki yeyote wa kikundi anaweza kubadili mada, aikoni, maelezo ya kikundi au kutuma ujumbe. Hata hivyo, msimamizi wa kikundi anaweza kubadili mipangilio ya kikundi ili kuruhusu wasimamizi pekee kuhariri maelezo ya kikundi.

Kubadili maelezo ya kikundi

Kubadili mada ya kikundi
  1. Fungua soga husika ya kikundi cha WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Au, gusa na ushikilie kikundi kwenye kichupo cha SOGA. Kisha, gusa Chaguo zaidi > Maelezo ya kikundi.
  2. Gusa Hariri kando ya aikoni ya kikundi na mada.
  3. Weka mada mpya, kisha gusa SAWA.
    • Ukomo wa mada ni herufi 25.
    • Unaweza kuweka emoji kwenye mada yako kwa kugusa Emoji.
Kubadili aikoni ya kikundi
  1. Fungua soga husika ya kikundi cha WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Au, gusa na ushikilie kikundi kwenye kichupo cha SOGA. Kisha, gusa Chaguo zaidi > Maelezo ya kikundi.
  2. Gusa aikoni ya kikundi > Hariri.
  3. Chagua kutumia Matunzio yako, Kamera au Tafuta Mtandaoni ili uweke picha mpya au unaweza Kuondoa aikoni.
Kubadili maelezo ya kikundi
  1. Fungua soga husika ya kikundi cha WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Au, gusa na ushikilie kikundi kwenye kichupo cha SOGA. Kisha, gusa Chaguo zaidi > Maelezo ya kikundi.
  2. Gusa maelezo ya kikundi.
  3. Weka maelezo mapya, kisha gusa SAWA.

Rasilimali zinazohusiana:

Jinsi ya kubadilisha mipangilio ya usimamizi wa kikundi

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti