Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
AndroidSoga

Jinsi ya kutoka kwenye kikundi na kufuta vikundi

Kutoka kwenye kikundi

Ukitoka kwenye kikundi, utaondolewa kwenye kikundi hicho. Hata hivyo, bado utaona kikundi kwenye kichupo chako cha SOGA na kuweza kusoma historia ya soga. Ikiwa wewe tu ndiye mtawala wa kikundi na unatoka kwenye kikundi, mshiriki atachaguliwa bila mpango kuwa mtawala mpya.

Kutoka kwenye kikundi:

  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Mbadala, gusa na shikilia kikundi kwenye kichupo cha SOGA.
  2. Gusa Toka kwenye kikundi > TOKA.

Futa kikundi

Baada ya kutoka kwenye kikundi, una hiari ya kufuta kikundi hicho. Ukifuta kikundi, hautakiona kikundi tena kwenye kichupo cha SOGA zako na historia ya soga itafutwa. Kufuta kikundi baada ya kutoka kwenye kikundi:

  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Mbadala, gusa na shikilia kikundi kwenye kichupo cha SOGA.
  2. Gusa Futa kikundi > FUTA.
    • Kama hutaki kufuta midia ya kikundi kutoka kwenye simu yako, hakikisha kuwa umeondoa uteuzi kwenye kisanduku cha Futa midia kwenye soga hii au Futa midia kwenye soga hizi.
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti