Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Android
  2. Soga

Jinsi ya kuhariri picha na video

WhatsApp hukuruhusu kubadilisha unavyotaka picha na video zako kwa kuongeza emoji, maandishi au uchoraji kwa kidole.

Kuhariri picha na video

  1. Gusa Kamera katika sehemu ya kuandikia.
  2. Piga picha mpya au video, ama chagua picha au video iliyopo kwenye kichaguzi.
  3. Chagua unachotaka kuongeza kwenye picha au video.

Kuongeza vibandiko au emoji

  1. Gusa Kibandiko > Kibandiko au Emoji.
  2. Gusa kipengee ambacho ungependa kutumia.
    • Ili usogeze kipengee, kiguse na ukishikilie, kisha kiburute.
    • Ili ubadilishe ukubwa wa kipengee, kifinye au kipanue ili kiwe kidogo au kikubwa.
    • Ili kuzungusha kipengee, kifinye na ukigeuze.

Kuongeza maandishi

  1. Gusa Maandishi katika sehemu ya juu ya skrini.
  2. Andika unachotaka katika sehemu ya maandishi.
    • Ili uchague rangi, telezesha kidole chako juu na chini kwenye kiteua rangi.
    • Ili uchague aina ya fonti, gusa Maandishi kwa kurudia. Gusa skrini ili uthibitishe aina ya fonti.
    • Ili ubadilishe ukubwa wa maandishi, yafinye au yapanue ili yawe madogo au makubwa.
    • Ili uzungushe maandishi, finya na ugeuze maandishi.

Kuchora

  1. Gusa Chora katika sehemu ya juu ya skrini.
  2. Tumia kidole chako kuchora unachotaka.
    • Ili uchague rangi, telezesha kidole chako juu na chini kwenye kiteua rangi. Unaweza kuchagua rangi ya kila mstari unaouchora.

Kutumia vichujio

  1. Telezesha kidole juu kwenye picha au video.
  2. Chagua kichujio.

Kunyamazisha sauti ya video

  1. Gusa Nyamazisha ili uondoe sauti kwenye video yako.
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti