Kufuta soga ya kikundi, kwanza unahitaji kuondoka kwenye kikundi.
Soga za kibinafsi na sasisho za hadhi zitafutwa kutoka kwenye tab ya Soga zako. Hata hivyo,soga za kikundi bado zitaonekana kwenye tab ya Soga, na bado utakuwa sehemu yao isipokuwa uondoke.