Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
AndroidSoga

Jinsi ya kufuta soga

Futa soga ya kibinafsi

  1. Kwenye tab ya Soga, gusa na shikilia soga ya kibinafsi unayotaka kufuta.
  2. Gusa Futa > FUTA.

Futa soga ya kikundi

Kufuta soga ya kikundi, kwanza unahitaji kuondoka kwenye kikundi.

  1. Kwenye tab ya Soga, gusa na shikilia soga ya kikundi unayotaka kufuta.
  2. Gusa Hiari zaidi > Ondoka kwenye kikundi > ONDOKA.
  3. Gusa na shikilia soga ya kikundi tena, kisha gusa Futa > FUTA.

Kufuta soga zote kwa wakati mmoja

  1. Kwenye tab ya Soga, gusa Hiari zaidi > Mipangilio > Soga > Historia ya soga.
  2. Gusa Futa soga zote.

Soga za kibinafsi na sasisho za hadhi zitafutwa kutoka kwenye tab ya Soga zako. Hata hivyo,soga za kikundi bado zitaonekana kwenye tab ya Soga, na bado utakuwa sehemu yao isipokuwa uondoke.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kufuta jumbe: iPhone | KaiOS
  • Jinsi ya kufuta soga: iPhone | Android
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti