Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Android
  2. Soga

Jinsi ya kuweka nakala rudufu kwenye Hifadhi ya Google

Ili kuweka nakala rudufu kwenye Hifadhi ya Google, utahitaji:

  • Akaunti ya Google inayofanya kazi kwenye kifaa chako.
  • Huduma za Google Play iwe imesakinishwa kwenye kifaa chako. Hii ni programu inayotumika kusasisha programu za Google na programu kutoka kwenye Duka la Google Play.
  • Nafasi ya kutosha kwenye kifaa chako ili kuhifadhi nakala.
  • Muunganisho imara na thabiti wa intaneti.
Kuweka nakala rudufu kwenye Hifadhi ya Google
  1. Fungua WhatsApp.
  2. Gusa Chaguo zaidi > Mipangilio > Soga > Nakala ya soga > Weka nakala kwenye Hifadhi ya Google.
  3. Chagua marudio ya kuweka nakala badala ya kuchagua Kamwe.
  4. Chagua akaunti ya Google utakayotumia kuhifadhi nakala ya historia yako ya soga.
    • Ikiwa huna akaunti ya Google iliyounganishwa, gusa Ongeza akaunti unapoulizwa kuweka vitambulisho vyako vya kuingilia.
  5. Gusa Hifadhi nakala kupitia ili uchague mtandao unaotaka kuutumia kwa kuhifadhi nakala.

Kumbuka: Kuhifadhi nakala kupitia data ya mtandao wa simu kunaweza kukuongezea gharama za data.

Kuwasha uwekaji wa nakala iliyofumbwa mwisho hadi mwisho

Kwa safu ya ziada ya usalama, unaweza kuwasha ufumbaji wa mwisho hadi mwisho kwa nakala unayoweka kwenye Hifadhi ya Google.

  1. Fungua WhatsApp.
  2. Gusa Chaguo zaidi > Mipangilio > Soga > Nakala ya soga > Ufumbaji wa nakala mwisho hadi mwisho.
  3. Gusa WASHA.
  4. Unda nenosiri au tumia ufunguo wa ufumbaji wenye tarakimu 64.
  5. Gusa Unda ili uunde nakala iliyofumbwa mwisho hadi mwisho.
Kujiwekea nakala rudufu mwenyewe kwenye Hifadhi ya Google

Unaweza pia kuchagua kujiwekea nakala rudufu ya soga zako kwenye Hifadhi ya Google wakati wowote.

  1. Fungua WhatsApp.
  2. Gusa Chaguo zaidi > Mipangilio > Soga > Nakala ya soga > HIFADHI NAKALA.

Kuweka mipangilio yako ya nakala rudufu ya Hifadhi ya Google

Kubadili marudio ya kuweka nakala kwenye Hifadhi ya Google
  1. Fungua WhatsApp.
  2. Gusa Chaguo zaidi > Mipangilio > Soga > Nakala ya soga > Weka nakala kwenye Hifadhi ya Google.
  3. Chagua marudio ya kuhifadhi nakala.
Kubadilisha akaunti unayotaka kutumia kuhifadhi nakala
  1. Fungua WhatsApp.
  2. Gusa Chaguo zaidi > Mipangilio > Soga > Nakala ya soga > Akaunti ya Google.
  3. Chagua akaunti ya Google utakayotumia kuhifadhi nakala ya historia yako ya soga.

Kumbuka: Ukibadilisha akaunti yako ya Google, utapoteza ufikiaji wa nakala zozote rudufu ulizohifadhi kwenye akaunti yako.

Kubadilisha aina ya mtandao unaotaka kuutumia kuhifadhi nakala
  1. Fungua WhatsApp.
  2. Gusa Chaguo zaidi > Mipangilio > Soga > Nakala ya soga > Hifadhi nakala kupitia
  3. Chagua aina ya mtandao unaotaka kuutumia kuhifadhi nakala.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kurejesha historia yako ya soga
  • Imeshindwa kuanzisha au kuunda nakala rudufu ya Hifadhi ya Google
  • Kuhusu nakala iliyofumbwa mwisho hadi mwisho
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti