Maswali Yanayoulizwa Sana
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
AndroidSoga

Jinsi ya kunyarakisha au kutoa nyarakani soga au kikundi

Kipengele cha kunyarakisha kinakuruhusu kuficha soga za kibinafsi au kikundi kutoka kwa orodha ya soga zako ili kupangilia mazungumzo yako.

Kumbuka:

  • Kutumia nyarakisha hakutafuta au kucheleza soga kwenye kadi yako ya SD.
  • Soga ya kibinafsi au kikundi iliyonyarakishwa itatolewa nyarakani utakapo pokea ujumbe mpya kutoka kwa huyo mtu binafsi au soga ya kikundi.

Nyarakisha soga au kikundi

  1. Kwenye tab ya SOGA, gusa na shikilia soga unayotaka kuficha.
  2. Gusa Nyarakisha juu ya skrini.

Nyarakisha soga zote

  1. Kwenye tab ya SOGA, gusa Hiari zaidi > Mipangilio.
  2. Gusa Soga > Historia ya soga > Nyarakisha soga zote.

Tazama soga au vikundi vilivonyarakishwa

  1. Sogeza mpaka chini ya skrini ya SOGA.
  2. Gusa Imenyarakishwa.

Kutoa nyarakani soga au kikundi

  1. Sogeza mpaka chini ya skrini ya SOGA na gusa Nyarakisha.
  2. Gusa na shikilia soga au kikundi unayotaka kutoa nyarakani.
  3. Kwenye kibao cha juu, gusa ikoni ya kutoa nyarakani.

Rasilimali zinazohusiana:

Jinsi ya kunyarakisha au kutoa nyarakani soga au kikundi: iPhone | | Web na Desktop | KaiOS

Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti