Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Android
  2. Soga

Jinsi ya kuweka au kutoa soga au kikundi nyarakani

Kipengele cha kunyarakisha kinakuruhusu kuficha soga za binafsi au za kikundi kutoka kwenye orodha yako ya soga ili kupangilia mazungumzo yako vizuri.

Kumbuka:

  • Kunyarakisha soga hakutafuta au kuhifadhi nakala ya soga kwenye kadi yako ya SD.
  • Soga binafsi au za kikundi zilizonyarakishwa zitabakia nyarakani utakapopokea ujumbe mpya kutoka kwa mtu yuyo huyo au soga ya kikundi.
  • Hutapokea arifa za soga zilizonyarakishwa isipokuwa kama umetajwa au kujibiwa.

Kunyarakisha soga ya binafsi au ya kikundi

  1. Kwenye kichupo cha SOGA, gusa na ushikilie soga unayotaka kuificha.
  2. GusaZilizonyarakishwa juu ya skrini.

Kunyarakisha soga zote

  1. Kwenye kichupo cha SOGA, gusa Chaguo zaidi > Mipangilio.
  2. Gusa Soga > Historia ya soga > Nyarakisha soga zote.

Kuona soga za binafsi ua za kikundi zilizonyarakishwa

  1. Telezesha hadi juu ya skrini ya SOGA.
  2. GusaZilizonyarakishwa.

Nambari iliyo karibu na Zilizonyarakishwa inaonyesha idadi ya soga za binafsi au za kikundi zilizo na ujumbe ambao hujausoma.

Kuondoa soga ya binafsi au ya kikundi nyarakani

  1. Telezesha hadi juu ya skrini ya SOGA.
  2. GusaZilizonyarakishwa.
  3. Gusa na ushikilie soga ya binafsi au ya kikundi unayotaka kuiondoa nyarakani.
  4. Gusa Toa nyarakani katika sehemu ya juu ya skrini.

Mipangilio mbadala ya kunyarakisha

Kubadilisha mipangilio ya kawaida ili soga zilizonyarakishwa zitoke nyarakani ujumbe mpya unapopokelewa na kuondoaZilizonyarakishwa isionekane juu ya orodha yako ya soga:

  1. Kwenye kichupo cha SOGA, gusa Chaguo zaidi > Mipangilio
  2. Gusa Soga.
  3. Zima Soga zibakie nyarakani.

Rasilimali zinazohusiana:

Jinsi ya kunyarakisha au kutoa soga au kikundi nyarakani: iPhone | Web na Desktop | KaiOS

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti