Jinsi ya kuongeza na kuondoa washiriki
Unaweza kuongeza au kuwaondoa washiriki kwenye kikundi ikiwa wewe ndiwe msimamizi wa kikundi.
Kuongeza washiriki
- Fungua soga husika ya kikundi cha WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
- Au, gusa na ushikilie kikundi kwenye kichupo cha SOGA. Kisha, gusa Chaguo zaidi
> maelezo ya kikundi.

- Gusa Ongeza washiriki
. - Tafuta au chagua waasiliani wa kuongeza kwenye kikundi.
- Gusa alama hakikishi ya kijani
unapomaliza.
Kuondoa washiriki
- Fungua soga husika ya kikundi cha WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
- Au, gusa na ushikilie kikundi kwenye kichupo cha SOGA. Kisha, gusa Chaguo zaidi
> maelezo ya kikundi.
- Au, gusa na ushikilie kikundi kwenye kichupo cha SOGA. Kisha, gusa Chaguo zaidi
- Gusa mshiriki unayetaka kumwondoa.
- Gusa Ondoa {participant} > SAWA.