Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Android
  2. Akaunti na Jalada

Jinsi ya kufuta akaunti yako

Unaweza kuifuta akaunti yako ndani ya WhatsApp. Kufuta akaunti yako ni mchakato usioweza kutenduliwa, ambao hatuwezi kuubatilisha hata kama umeufanya kimakosa.

Kuifuta akaunti yako

  1. Fungua WhatsApp.
  2. Gusa Chaguo zaidi > Mipangilio > Akaunti > Futa akaunti yangu.
  3. Weka nambari yako ya simu katika mfumo kamili wa kimataifa kisha uguse FUTA AKAUNTI YANGU.
  4. Chagua sababu ya kufuta akaunti kutoka kwenye orodha kujunzi.
  5. Gusa FUTA AKAUNTI YANGU.
Kufuta akaunti yako kutafanya yafuatayo:
  • Kutafuta akaunti yako kutoka kwa WhatsApp.
  • Kutafuta historia yako ya ujumbe.
  • Kutakufuta kutoka kwenye vikundi vyako vyote vya WhatsApp.
  • Kutafuta nakala uliyoweka kwenye Hifadhi ya Google.

Ukiifuta akaunti yako:

  • Huwezi kurejesha upatikanaji wa akaunti yako.
  • Inaweza kuchukua hadi siku 90 kutoka mwanzo wa mchakato wa kufuta ili kufuta taarifa zako zilizo kwenye WhatsApp. Nakala ya taarifa zako huenda pia zikabaki baada ya siku 90 kwenye hifadhi ya nakala ambayo huwa tunaitumia ili kurejesha taarifa endapo kuna mkasa, hitilafu ya programu au tukio jingine la kupoteza data. Hutapata taarifa zako kwenye WhatsApp katika kipindi hicho.
  • Hutaathiri taarifa zako zinazohusiana na vikundi ulivyounda au taarifa ambazo watumiaji wengine wanazo zinazohusiana na wewe, kama vile nakala za ujumbe uliowatumia.
  • Tunaweza kubaki na kiasi cha data ya kumbukumbu kwenye hifadhidata yetu hata ukishafuta akaunti yako, lakini data kama hiyo haitakuwa na taarifa yoyote inayotambulisha kiasi kwamba haiwezi tena kuhusishwa na akaunti yako. Ili kufanya hivi, mara kwa mara, tunafuta taarifa fulani tambulishi kutoka kwenye data hii ya kumbukumbu na tunabadilisha matukio yoyote ya kitambulisho cha akaunti yako na kuweka kitambulisho mbadala ambacho hakiwezi kuhusishwa tena na akaunti yako mara tu inapofutwa.
  • Pia tunaweza kuhifadhi taarifa zako kwa ajili ya mambo kama vile, masuala ya kisheria, ukiukaji wa masharti au juhudi za kuzuia madhara.
  • Tafadhali rejelea Sera yetu ya Faragha kwa taarifa zaidi.
  • Taarifa yako uliyoshiriki na Kampuni zingine za Meta pia itafutwa.

Rasilimali zinazohusiana:

Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kufuta akaunti yako kwenye: iPhone | KaiOS

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti