Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
AndroidAkaunti na Jalada

Jinsi ya kubadilisha nambari yako ya simu


Kipengele cha kubadilisha nambari yako ya simu kinakuruhusu kubadilisha nambari ya simu inayohusishwa na akaunti yako ya WhatsApp kwenye simu hiyohiyo au mpya. Kabla hujabadilisha nambari yako ya simu:

  • Hakikisha kuwa nambari yako mpya ya simu inaweza kupokea SMS au simu na ina muunganisho wa selula amilifu.
  • Hakikisha nambari yako ya zamani ya simu sasa imesajiliwa kwenye WhatsApp. Unaweza kutafuta nambari yako ya simu iliyosajiliwa kwa kufungua WhatsApp, kisha kugusa Hiari zaidi > Mipangilio > gusa picha ya jalada lako.

Badilisha nambari ya simu kwenye simu hiyohiyo

Kama unabadilisha nambari yako ya simu na unatumia simu hiyohiyo, kwanza ingiza SIM kadi mpya yenye nambari mpya ya simu kwenye simu yako.

  1. Fungua WhatsApp.
  2. Gusa Hiari zaidi > Mipangilio > Akaunti > Badilisha nambari > IFUATAYO.
  3. Ingiza nambari yako ya zamani kwenye uga wa kwanza na nambari mpya ya simu kwenye uga wa pili, zote kwenye mfumo kamili wa kimataifa.
  4. Gusa IFUATAYO.
    • Ukiwasha Waarifu waasiliani, unaweza kuchagua kama unataka kuwaarifu Waasiliani wote, Waasiliani ambao nina soga nao au Maalum.... Ukichagua Maalum..., utahitaji kutafuta au kuchagua waasiliani unaotaka kuwaarifu, kisha gusa alama hakikishi .
    • Vikundi vyako vya soga vitaarifiwa unapobadilisha nambari yako ya simu bila kijali kama ulichagua kuwaarifu waasiliani wako.
  5. Gusa IMEKAMILIKA.
  6. Utaulizwa kusajili nambari yako mpya ya simu. Jifunze zaidi kwenye makala haya.

Badilisha nambari ya simu kwenye simu mpya

Kama unahitaji kuhamisha historia yako ya soga, utahitaji kuunda chelezo la Google Drive kwenye simu yako ya zamani. Jifunze jinsi kwenye makala haya. Kama huundi chelezo kwa kutumia Google Drive, utahitaji kuhamisha chelezo lako kwa mkono, unaweza kujifunza jinsi ya kufanya hivyo kwenye makala haya.

Baada ya kubadilisha nambari yako ya simu kwenye simu yako ya zamani:

  1. Sakinisha WhatsApp kwenye simu yako mpya.
  2. Sajili nambari yako mpya ya simu.
  3. Rejesha chelezo yako.

Rasilimali zinazohusika:

  • Kuhusu kubadilisha nambari za simu
  • Kuhusu kubadilisha simu
  • Jinsi ya kubadilisha nambari yako ya simu kwenye iPhone
  • Huwezi kubadilisha nambari ya simu
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti