Ikiwa hupokei arifa kwenye WhatsApp ya tovuti, hakikisha kivinjari chako kimesanidiwa vizuri:
Bofya Washa arifa za kompyuta katika bendera ya bluu juu ya orodha ya soga.
Fuata maelekezo kwenye skrini na bofya Ruhusu.
Ikiwa huoni bendera ya bluu, onyesha upya ukurasa. Ikiwa bado huoni bendera, huenda umetuliza au kuzima arifa kutoka kwenye mipangilio ya WhatsApp. Jifunze jinsi ya kusanidi mipangilio yako ya arifa kwenye makala hii.
https://web.whatsapp.com
iko chini ya orodha ya Zuia, bofya Zaidi Unaweza kujifunza zaidi kuhusu arifa za Chrome kwenye tovuti ya Msaada wa Google Chrome .