Tunawezesha simu zote za Android ambazo zinatimiza mahitaji yafuatayo:
Utahitaji pia mpango wa data ili kupokea ujumbe wakati uko nje ya mtandao wa Wi-Fi.
Muhimu: Kwa tolea za Android 2.3.7 na zamani zaidi, huwezi tena kuunda akaunti mpya, wala kuthibitisha tena akaunti zilizopo. Hata hivyo, utakuwa na uwezo wa kuendelea kutumia WhatsApp mpaka Februari 1, 2020.
Kumbuka: Tunatoa usaidizi mdogo kwa watumiaji wa tableti na hatuwezeshi vifaa vya Wi-Fi pekee kwa wakati huu.
Jifunze kuhusu vifaa vinavyowezeshwa kwenye: iPhone | Windows Phone