Jinsi ya kushiriki bidhaa au huduma kutoka kwenye katalogi

Android
iPhone
Unaweza kushiriki bidhaa au huduma za biashara kwa urahisi.
Kushiriki bidhaa au huduma kutoka kwenye soga ya binafsi au ya kikundi
  1. Gusa Sambaza.
  2. Tafuta au chagua soga za kikundi au za binafsi.
  3. Gusa Tuma
    .
Kushiriki bidhaa au huduma kutoka kwenye katalogi
  1. Nenda kwenye jalada la WhatsApp Business.
  2. Gusa Katalogi.
  3. Gusa kwenye bidhaa au huduma.
  4. Gusa Sambaza bidhaa.
  5. Tafuta au chagua soga za kikundi au za binafsi.
  6. Gusa Tuma
    .
Kushiriki bidhaa au huduma kutoka kwenye katalogi katika WhatsApp Web au Desktop
  1. Nenda kwenye jalada la WhatsApp Business.
  2. Bofya Katalogi.
  3. Chagua bidhaa au huduma.
  4. Bofya aikoni kunjuzi.
  5. Bofya Tuma Bidhaa
  6. Tafuta au chagua soga za binafsi au za kikundi.
  7. Bofya Tuma
    .
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La