Huwezi kutumia kiandikio

iPhone
Vipengele vyote vya kiandikio vinadhibitiwa na iOS, ikiwa ni pamoja na viandikio vya lugha nyingi, Marekebisho ya kiotomatiki, Angalia Tahajia na Maandishi tabiri. Vipengele hivi vinaweza kuwashwa au kuzimwa kwenye iPhone Mipangilio > Jumla > Kiandikio. Tafadhali kumbuka, kama vipengele hivi havifanyi kazi, hili ni tatizo kwenye iOS.
Kama umeongeza kiandikio kingine, unaweza kukipata kwa kugusa dunia iliyo upande wa chini mwa kiandikio.
Kama unakuwa na uzoefu wa kuandika polepole, kubadilisha kiandikio au kuongeza emoji, tafadhali anzisha upya kamusi ya kiandikio chako kupitia iPhone Mipangilio > Jumla > Weka Upya> Weka Upya Kamusi ya Kiandikio.
Kujifunza zaidi kuhusu kiandikio kwenye iPhone yako, tafadhali tembelea tovuti ya Msaada wa Apple.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La