Kuweka mipangilio yako ya faragha

iPhone
Kimsingi, WhatsApp huweka mipangilio yako ya faragha kurusuhu:
Ili ubadilishe mipangilio hii, nenda kwenye Mipangilio > Faragha.
Kumbuka:
  • Usiposhiriki maelezo ya mara yako ya mwisho kuonwa au kuwa mtandaoni, hutaweza kuona maelezo ya mara ya mwisho watu wengine walipoonwa au kuwa mtandaoni.
  • Watu waliopo mtandaoni kwenye mazungumzo ya soga nawe wanaweza kuona unapoandika.
  • Ukizima taarifa za kusomwa, hutaweza kuona taarifa za kusomwa za watu wengine. Taarifa za kusomwa hutumwa kwenye soga za vikundi kila mara.
  • Ikiwa mtu unayewasiliana naye amezima taarifa za kusomwa, hutaweza kuona kama ameona sasisho lako la hali.
  • Watumiaji ambao umehifadhi namba zao kwenye anwani zako au uliowatumia ujumbe hapo awali wataweza kuona maelezo yako ya mara ya mwisho kuonwa au kuwa mtandaoni.
Pata maelezo kuhusu mipangilio ya faragha kwenye: Android
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La