Jinsi ya kuhariri jalada lako

Android
iPhone
KaiOS
Wavuti na Kompyuta ya dawati
Windows
Unaweza kuhariri picha, jina na maelezo ya kuhusu ya jalada lako kwenye mipangilio ya WhatsApp.
Kuhariri picha yako ya jalada
 1. Bofya aikoni ya picha yako ya jalada.
  • Au bofya
   iliyo sehemu ya juu ya orodha ya soga zako > Mipangilio > picha ya jalada lako.
 2. Ikiwa:
  • Huna picha ya jalada: Bofya WEKA PICHA YA JALADA. Unaweza Kupiga picha au Kupakia picha.
  • Una picha ya jalada: Wekelea kiashiria kwenye picha yako, kisha ubofye BADILISHA PICHA YA JALADA. Unaweza Kuangalia picha, Kupiga picha, Kupakia picha au Kuondoa picha.
  • Huna picha ya jalada: Bofya WEKA PICHA YA JALADA, hatua ambayo itakuruhusu kuchagua Kupiga picha au Kupakia picha.
Kubadili jina la jalada lako
 1. Bofya aikoni ya picha yako ya jalada.
  • Au bofya
   iliyo sehemu ya juu ya orodha ya soga zako > Mipangilio > picha ya jalada lako.
 2. Ili kusasisha jina lako la jalada, bofya
  .
  • Pia unaweza kuweka emoji kwa kubofya
   .
 3. Bofya
  .
Kuhariri maelezo yako ya kuhusu
 1. Bofya aikoni ya picha yako ya jalada.
  • Au bofya
   iliyo sehemu ya juu ya orodha ya soga zako > Mipangilio > picha ya jalada lako.
 2. Ili kusasisha maelezo yako ya kuhusu, bofya
  .
  • Pia unaweza kuweka emoji kwa kubofya
   .
 3. Bofya
  .
Rasilimali zinazohusiana:
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La